Jumamosi, 18 Oktoba 2014

UZINDUZI WA JOHN LISU WAFANANA SANA NA UKUMBI WA DIAMOND JUBILIEE HALL.

UZINDUZI  WA JOHN  LISU   AKIZINDUA  ALBAM  YAKE  YA  PILI "UKO  HAPA"YENYE  NYIMBO  KUMI NA NANE(18), KATIKA UKUMBI  WA  DIAMOND JUMBILEE  HALL JIJINI DAR ES SALAM.

Uzinduzi huo umefanyika leo,na mgeni  Rasmi ni Mheshimiwa  Stephani Wasira pamoja na wachungaji kutoka sehemu mbalimbali na waimbaji waliomsindikiza akiwepo Rose  mhando,Christina shusho,Christina  kilahiro,Abwene  mwasongwe, Solomon  mkubwa, Glory celebration pamoja na wengine wengi. 

                            https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhoE3XIjey3b-5m4AUCKTe_BGGA8a_rt3ceFEFlhZg0sGhA9HWJE3yF3ztgR3jtvWSgmgif3_xlmYZB1InGVDof_9O2i6mLmEixvvXM1zkkSA9rI0bAn-9id0qUR1R6S92jp0FgM7fg8xI/s1600/2.jpg
              Waziri  wa Nchi,ofisi  ya Rais (Mahusiano  na  Uratibu),STEPHA  WASIRA akionyesha  albam ya"  Uko  hapa"John  Lisu  yenye nyimbo (18), na kushoto ni mchungaji  Mwakibolo wa kanisa  la Mito ya baraka lilopo J angwani  na  kulia  ni Mkurugezi  wa kampuni la Msama  promosion,Alex  Msama ambaye ni mdhamin  wa uzinduzi  huu.
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjgCHCGrGTRz7FtCArAyyKl0Dt_cgJrgCJ8Dpt36u89oULODZPUCsPOpDSpWBZ2nFzP2BkaRXUhyphenhyphen9LeDpWt5mHYdqMldFut7DLH2yFleRCwhXKofLMhHRzWNn4xjMN5tlxOyfNOChEyGjY/s1600/HMB_9649.JPG
                               JOHN  LISU  AKIPIGA  GITA HUKU AKIIMBA.
               Huyu ndiye muimbaji  wetu wa  nyimbo  za Injili  sifa na kuabudu  John  Lisu  aliyejazwa Roho  mtakatifu ambaye amefanikiwa kutoa albam  mbili ya  kwanza iki itwa  "Jehova  yu hai"yenye nyimbo  kumi (14),na ya pili ni "Uko Hapa" zenye nyimbo kumi(18).


                           https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjZCHeYzuUwSNh9u1FadA-CZMwnA0BXEfuGKdklxNHP81MT-N4dYWeLL8U54mR_F2tEB-uITJ-YgxvD0iFG9qtk7WIvJdZcgc2tEOFnef_uCAO-ZAH4RJuDrecRud0K7fZwT0BUdWt9TUM/s1600/HMB_9630.JPG
                                   Hawa ni waimbaji  wa John  Lisu wakiwajibika  jukwaani kwenye  uzinduzi wa albam  ya "Uko  hapa".

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni