
Emmanuel Mbasha akiwa na mke wake wa ndoa Flora Mbasha.
Huyu ni mwimbaji mahiri wa nyimbo za injili akimshukuru mungu kwa kurudiana na mume wake kipenzi ambaye kuna mtafaruko wa ndoa uliotoke kama miezi miwili iliyopita . amendelea kusema ni meamini mume wangu alisingiziwa kwa maneno yaliyovuma sana kuwa amemubaka mdogo wangu hizo tetesi ni za uongo.
Hivyo amesema tunarudiana kuwa mwili mmoja hadi kifo kitakapo tutenganisha hakuna mwingine wa kututenganisha maana kuna watu wengi wa meweza kuzugumzia hili swala nimeamua turudiane najua lilikuwa jaribu tu na sasa tumeshinda vita tumekuwa mwili mmoja.
Emmanuel Mbasha amesema na mshukru sana mke wangu kwa kunisamehe kwa mambo yaliyotokea japokuwa hayakuwa na ukweli sasa tumekuwa mwili mmoja hakuna mwingine wa kututenganisha bali ni mungu atakaye tutenganisha ambacho ni kifo tu.
Na huyo unayemuona upande wa kushoto huyo ndiye mdogo wake Flora Mbasha ambaye alisingiziwa na mbasha.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni