Ijumaa, 24 Oktoba 2014

CHRISTINA ASHINDA TUZO YA MWIMBAJI WA MWAKA HUU TUZO ZA INJILI.

                      CHRISTINA   SHUSHO  APOKEA  TUZO.

Mwimbaji nyota wa gospel nchini mwanamama Christina Shusho ametwaa tuzo ya mwimbaji wa mwaka kwa nchi za Afrika mashariki katika tuzo za Africa Gospel Music Awards zilizofanyika usiku wa kuamkia leo jumapili katika ukumbi wa The great hall chuo kikuu cha Queen Mary jijini London nchini Uingereza.
Shusho amepata tuzo hiyo katika kinyang'anyiro cha waimbaji wapatao tisa kutoka Kenya pamoja na Uganda huku Tanzania ilikuwa ikiwakilishwa na waimbaji wawili, Shusho pamoja na Martha Mwaipaja ambapo hii ni mara ya tatu kwa Shusho kuingizwa katika kinyang'anyiro hicho na hatimaye safari hii kura zimetosha ameondoka na tuzo ambayo imepokelewa kwa niaba yake na mkurugenzi wa GK Am
- See more at: http://www.gospelkitaa.co.tz/2013/07/christina-shusho-ashinda-tuzo-ya.html#sthash.MW3hxjZh.dpuf
                                                                                  Christina  Shusho.

                   Mwimbaji  nyota wa gospel Nchini mwanamama  Christina  Shusho  ametwaa  tuzo  ya  uimbaji  wa  mwaka  huu  kwa nchi  za  Afrika  mashariki  katika  tuzo  za  afrika  Gospel  music  Awards  zilizofanyika jumapili  iliyopita  katika  ukumbi  wa The great  hall chuo  kikuu  cha Queen Mary  jijini  london  nchini  Uingereza.

                 Shusho  amepata  tuzo  hiyo  katika  kinyang,anyiro  cha waimbaji  wapatao  tisa  kutoka  Kenya  pamoja  na  Uganda  huku Tanzania walikuwa  wawili  shusho  pamoja na  Matha  Mwaipaja  ambapo  hii ni  mara  ya  tatu  kuingizwa  kwenye  kinyang,nyiro  hicho  hatimaye  amefanikiwa  kupokea  tuzo  hiyo.

wimbaji nyota wa gospel nchini mwanamama Christina Shusho ametwaa tuzo ya mwimbaji wa mwaka kwa nchi za Afrika mashariki katika tuzo za Africa Gospel Music Awards zilizofanyika usiku wa kuamkia leo jumapili katika ukumbi wa The great hall chuo kikuu cha Queen Mary jijini London nchini Uingereza.
Shusho amepata tuzo hiyo katika kinyang'anyiro cha waimbaji wapatao tisa kutoka Kenya pamoja na Uganda huku Tanzania ilikuwa ikiwakilishwa na waimbaji wawili, Shusho pamoja na Martha Mwaipaja ambapo hii ni mara ya tatu kwa Shusho kuingizwa katika kinyang'anyiro hicho na hatimaye safari hii kura zimetosha ameondoka na tuzo ambayo imepokelewa kwa niaba yake na mkurugenzi wa GK Ambwene Mwamwaja.
Pamoja na Christina Shusho mwimbaji aliewika zaidi kwakuondoka na tuzo mbili kati ya tatu alizopendekezwa ni mwanamama Ntokozo Mbambo wa Nqubeko ambaye hata hivyo hakuhudhuria tuzo hizo ambazo zilikuwa na kasoro za kiufundi za hapa na pale huku mwimbaji kutoka DRC mwenye makazi yake nchini Uingereza bibie Dena Mwana aliweza kuwasimamisha watu kwa uhodari wake katika uimbaji. Kiujumla waimbaji kutoka Afrika magharibi, Ghana na Nigeria wameondoka na tuzo hizo zaidi ukilinganisha na
- See more at: http://www.gospelkitaa.co.tz/2013/07/christina-shusho-ashinda-tuzo-ya.html#sthash.NOGHOrjk.dpuf

Mwimbaji nyota wa gospel nchini mwanamama Christina Shusho ametwaa tuzo ya mwimbaji wa mwaka kwa nchi za Afrika mashariki katika tuzo za Africa Gospel Music Awards zilizofanyika usiku wa kuamkia leo jumapili katika ukumbi wa The great hall chuo kikuu cha Queen Mary jijini London nchini Uingereza.
Shusho amepata tuzo hiyo katika kinyang'anyiro cha waimbaji wapatao tisa kutoka Kenya pamoja na Uganda huku Tanzania ilikuwa ikiwakilishwa na waimbaji wawili, Shusho pamoja na Martha Mwaipaja ambapo hii ni mara ya tatu kwa Shusho kuingizwa katika kinyang'anyiro hicho na hatimaye safari hii kura zimetosha ameondoka na tuzo ambayo imepokelewa kwa niaba yake na mkurugenzi wa GK Ambwene Mwamwaja.
Pamoja na Christina Shusho mwimbaji aliewika zaidi kwakuondoka na tuzo mbili kati ya tatu alizopendekezwa ni mwanamama Ntokozo Mbambo wa Nqubeko ambaye hata hivyo hakuhudhuria tuzo hizo ambazo zilikuwa na kasoro za kiufundi za hapa na pale huku mwimbaji kutoka DRC mwenye makazi yake nchini Uingereza bibie Dena Mwana aliweza kuwasimamisha watu kwa uhodari wake katika uimbaji. Kiujumla waimbaji kutoka Afrika magharibi, Ghana na Nigeria wameondoka na tuzo hizo zaidi ukilinganisha na waimbaji kutoka sehemu nyingine.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni