
Muimbaji wa nyimbo za Injili Nchin Afrika Kusini maarufu kama Rebeca Malope alizaliwa mnamo mwaka 1968. Alipofikisha miaka 18 alianza kumwimbia Mungu wake aliye muumba nyimbo za kusifu.
Safari hiyo ya msanii wa nyimbo za Injili, Alikuja kuzaa matunda yanayozidi kukonga nyoyo za mamia ya watu duniani. Rebeka Malope pia ni mtangazaji wa kipindi cha luninga kiitwacho "It is Gospel time" kinachohusu Injili.
\
\ Ndani ya takribani miaka 27 katika kazi yake muziki Rebeca amekwisha toa albamu za mziki wa Injili takribani 32. Pia ana Tuzo zaidi ya 29.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni