WAIMBAJI WA NYIMBO ZA INJILI WAKIHUDUMU KWA NJIA YA WIMBO.
Hii ni kwaya ya Kinondoni Revival Church (TAG) ambayo kiongozi wa kanisa hili ni Askofu R.Swai. kway ilianza kuimba tangu mwaka 1990 mwalim wa akiwa Makenzi ni mwalim aliyeja upako wa Mungu na mwinjilisti wa neno la Mungu.
Waimbaji hawa wamefanikiwa kutoa nyimbo za kumsifu Mungu na kuabudu albam tano zilizovuma sana ni albam ya "kwanini wataka kujiua" hii ilivuma sana mwaka 2006 mpaka 2012 kwa sasa wanafahamika kwa wimbo wa "mtu wa nne" huu ni wimbo uliobeba ujumbe wa biblia kuwa kuna watu walitupwa kwenye tanuru lakini wakajikuta wako nne.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni