Jumatano, 22 Oktoba 2014

Ambwene Mwasongwe _ Misuli ya imani

Nimeamini hii ndiyo Misuri ya imani ambayo inakuwa kwa watu waliosimama na Mungu pia anayeijua Biblia vizuri. Kwa mtu asiyekuwa na Imani siyo rahisi kuvumilia kumuomba Mungu wakati watoto wake saba wamefariki siku moja, lazima angeenda kwa waganga wakienyeji. Lakini huyu mama alisimama na kumuomba Mungu wake aliye hai siku zote wala hashindwi kwa jambo lolote. Hivyo inatakiwa tusimame imara na tuwe waombaji wazuri pia tusome neno la Mungu.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni