Sherehe ya Kumpongeza Mchungaji Kiongozi Rogathe z. Swai wa Kanisa la (TAG)Revival Kinondoni.
Mchungaji Kiongozi Askofu Zakayo Rogathe Swai wa Kanisa la Tanzania
Assemblies of God (TAG) Kinondoni maarufu kama Kinondoni Revival Church
afanyiwa sherehe kwa kuhitimu mafunzo ya Shahada ya kwanza ya
Theologia toka Chuo kikuu cha East Nairobi sherehe zilizofanyika
leo kanisani Kinondoni Dar es Salaam.
Askofu Swai na mkewe wakilishana keki .
Mchungaji Swai akiwa na mkewe Eshemendi, wengine kutoka kushoto ni
Askofu mkuu wa makanisa ya TAG Tanzania Dr Barnabas Mtokambali na
mkewe , Kulia kabisa ni Mr & Mrs Rev Dr. Moris Mwarandu toka
kanisa la RGC Nairobi, Kenya
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni