Ijumaa, 24 Oktoba 2014

CHRISTINA ASHINDA TUZO YA MWIMBAJI WA MWAKA HUU TUZO ZA INJILI.

                      CHRISTINA   SHUSHO  APOKEA  TUZO.


Mwimbaji nyota wa gospel nchini mwanamama Christina Shusho ametwaa tuzo ya mwimbaji wa mwaka kwa nchi za Afrika mashariki katika tuzo za Africa Gospel Music Awards zilizofanyika usiku wa kuamkia leo jumapili katika ukumbi wa The great hall chuo kikuu cha Queen Mary jijini London nchini Uingereza.
Shusho amepata tuzo hiyo katika kinyang'anyiro cha waimbaji wapatao tisa kutoka Kenya pamoja na Uganda huku Tanzania ilikuwa ikiwakilishwa na waimbaji wawili, Shusho pamoja na Martha Mwaipaja ambapo hii ni mara ya tatu kwa Shusho kuingizwa katika kinyang'anyiro hicho na hatimaye safari hii kura zimetosha ameondoka na tuzo ambayo imepokelewa kwa niaba yake na mkurugenzi wa GK Am
- See more at: http://www.gospelkitaa.co.tz/2013/07/christina-shusho-ashinda-tuzo-ya.html#sthash.MW3hxjZh.dpuf
                                                                                  Christina  Shusho.

                    
                   Mwimbaji  nyota wa gospel Nchini mwanamama  Christina  Shusho  ametwaa  tuzo  ya  uimbaji  wa  mwaka  huu  kwa nchi  za  Afrika  mashariki  katika  tuzo  za  afrika  Gospel  music  Awards  zilizofanyika jumapili  iliyopita  katika  ukumbi  wa The great  hall chuo  kikuu  cha Queen Mary  jijini  london  nchini  Uingereza.

                 Shusho  amepata  tuzo  hiyo  katika  kinyang,anyiro  cha waimbaji  wapatao  tisa  kutoka  Kenya  pamoja  na  Uganda  huku Tanzania walikuwa  wawili  shusho  pamoja na  Matha  Mwaipaja  ambapo  hii ni  mara  ya  tatu  kuingizwa  kwenye  kinyang,nyiro  hicho  hatimaye  amefanikiwa  kupokea  tuzo  hiyo.

wimbaji nyota wa gospel nchini mwanamama Christina Shusho ametwaa tuzo ya mwimbaji wa mwaka kwa nchi za Afrika mashariki katika tuzo za Africa Gospel Music Awards zilizofanyika usiku wa kuamkia leo jumapili katika ukumbi wa The great hall chuo kikuu cha Queen Mary jijini London nchini Uingereza.
Shusho amepata tuzo hiyo katika kinyang'anyiro cha waimbaji wapatao tisa kutoka Kenya pamoja na Uganda huku Tanzania ilikuwa ikiwakilishwa na waimbaji wawili, Shusho pamoja na Martha Mwaipaja ambapo hii ni mara ya tatu kwa Shusho kuingizwa katika kinyang'anyiro hicho na hatimaye safari hii kura zimetosha ameondoka na tuzo ambayo imepokelewa kwa niaba yake na mkurugenzi wa GK Ambwene Mwamwaja.
Pamoja na Christina Shusho mwimbaji aliewika zaidi kwakuondoka na tuzo mbili kati ya tatu alizopendekezwa ni mwanamama Ntokozo Mbambo wa Nqubeko ambaye hata hivyo hakuhudhuria tuzo hizo ambazo zilikuwa na kasoro za kiufundi za hapa na pale huku mwimbaji kutoka DRC mwenye makazi yake nchini Uingereza bibie Dena Mwana aliweza kuwasimamisha watu kwa uhodari wake katika uimbaji. Kiujumla waimbaji kutoka Afrika magharibi, Ghana na Nigeria wameondoka na tuzo hizo zaidi ukilinganisha na
- See more at: http://www.gospelkitaa.co.tz/2013/07/christina-shusho-ashinda-tuzo-ya.html#sthash.NOGHOrjk.dpuf

Mwimbaji nyota wa gospel nchini mwanamama Christina Shusho ametwaa tuzo ya mwimbaji wa mwaka kwa nchi za Afrika mashariki katika tuzo za Africa Gospel Music Awards zilizofanyika usiku wa kuamkia leo jumapili katika ukumbi wa The great hall chuo kikuu cha Queen Mary jijini London nchini Uingereza.
Shusho amepata tuzo hiyo katika kinyang'anyiro cha waimbaji wapatao tisa kutoka Kenya pamoja na Uganda huku Tanzania ilikuwa ikiwakilishwa na waimbaji wawili, Shusho pamoja na Martha Mwaipaja ambapo hii ni mara ya tatu kwa Shusho kuingizwa katika kinyang'anyiro hicho na hatimaye safari hii kura zimetosha ameondoka na tuzo ambayo imepokelewa kwa niaba yake na mkurugenzi wa GK Ambwene Mwamwaja.
Pamoja na Christina Shusho mwimbaji aliewika zaidi kwakuondoka na tuzo mbili kati ya tatu alizopendekezwa ni mwanamama Ntokozo Mbambo wa Nqubeko ambaye hata hivyo hakuhudhuria tuzo hizo ambazo zilikuwa na kasoro za kiufundi za hapa na pale huku mwimbaji kutoka DRC mwenye makazi yake nchini Uingereza bibie Dena Mwana aliweza kuwasimamisha watu kwa uhodari wake katika uimbaji. Kiujumla waimbaji kutoka Afrika magharibi, Ghana na Nigeria wameondoka na tuzo hizo zaidi ukilinganisha na waimbaji kutoka sehemu nyingine.
- See more at: http://www.gospelkitaa.co.tz/2013/07/christina-shusho-ashinda-tuzo-ya.html#sthash.MW3hxjZh.dpuf
Mwimbaji nyota wa gospel nchini mwanamama Christina Shusho ametwaa tuzo ya mwimbaji wa mwaka kwa nchi za Afrika mashariki katika tuzo za Africa Gospel Music Awards zilizofanyika usiku wa kuamkia leo jumapili katika ukumbi wa The great hall chuo kikuu cha Queen Mary jijini London nchini Uingereza.
Shusho amepata tuzo hiyo katika kinyang'anyiro cha waimbaji wapatao tisa kutoka Kenya pamoja na Uganda huku Tanzania ilikuwa ikiwakilishwa na waimbaji wawili, Shusho pamoja na Martha Mwaipaja ambapo hii ni mara ya tatu kwa Shusho kuingizwa katika kinyang'anyiro hicho na hatimaye safari hii kura zimetosha ameondoka na tuzo ambayo imepokelewa kwa niaba yake na mkurugenzi wa GK Ambwene Mwamwaja.
Pamoja na Christina Shusho mwimbaji aliewika zaidi kwakuondoka na tuzo mbili kati ya tatu alizopendekezwa ni mwanamama Ntokozo Mbambo wa Nqubeko ambaye hata hivyo hakuhudhuria tuzo hizo ambazo zilikuwa na kasoro za kiufundi za hapa na pale huku mwimbaji kutoka DRC mwenye makazi yake nchini Uingereza bibie Dena Mwana aliweza kuwasimamisha watu kwa uhodari wake katika uimbaji. Kiujumla waimbaji kutoka Afrika magharibi, Ghana na Nigeria wameondoka na tuzo hizo zaidi ukilinganisha na waimbaji kutoka sehemu nyingine.
- See more at: http://www.gospelkitaa.co.tz/2013/07/christina-shusho-ashinda-tuzo-ya.html#sthash.MW3hxjZh.dpuf

Alhamisi, 23 Oktoba 2014

NIMEAMINI MUNGU ALICHO KIUNGANISHA MWANADAMU HAWEZI KUKITENGANISHA.

                                    
                                     Emmanuel  Mbasha akiwa na  mke wake  wa ndoa  Flora  Mbasha.

             Huyu  ni mwimbaji  mahiri  wa  nyimbo  za  injili  akimshukuru mungu  kwa  kurudiana  na  mume  wake  kipenzi  ambaye  kuna  mtafaruko  wa  ndoa  uliotoke  kama  miezi  miwili  iliyopita .  amendelea  kusema  ni  meamini  mume  wangu  alisingiziwa  kwa  maneno  yaliyovuma  sana  kuwa  amemubaka  mdogo wangu  hizo  tetesi ni  za  uongo.

          Hivyo  amesema  tunarudiana  kuwa  mwili  mmoja  hadi  kifo  kitakapo  tutenganisha hakuna mwingine  wa kututenganisha  maana  kuna  watu  wengi  wa  meweza  kuzugumzia  hili  swala  nimeamua turudiane najua  lilikuwa  jaribu tu  na  sasa tumeshinda  vita  tumekuwa  mwili  mmoja.

          Emmanuel  Mbasha  amesema  na  mshukru  sana  mke  wangu  kwa  kunisamehe  kwa  mambo  yaliyotokea  japokuwa  hayakuwa  na  ukweli  sasa  tumekuwa  mwili  mmoja  hakuna  mwingine  wa  kututenganisha  bali  ni  mungu  atakaye  tutenganisha  ambacho  ni  kifo  tu.

        Na  huyo  unayemuona  upande  wa kushoto  huyo  ndiye  mdogo  wake  Flora  Mbasha  ambaye  alisingiziwa  na  mbasha.

Jumatano, 22 Oktoba 2014

Ambwene Mwasongwe _ Misuli ya imani

Nimeamini hii ndiyo Misuri ya imani ambayo inakuwa kwa watu waliosimama na Mungu pia anayeijua Biblia vizuri. Kwa mtu asiyekuwa na Imani siyo rahisi kuvumilia kumuomba Mungu wakati watoto wake saba wamefariki siku moja, lazima angeenda kwa waganga wakienyeji. Lakini huyu mama alisimama na kumuomba Mungu wake aliye hai siku zote wala hashindwi kwa jambo lolote. Hivyo inatakiwa tusimame imara na tuwe waombaji wazuri pia tusome neno la Mungu.

Mch Abiudi Misholi Nimebaki Peke Yangu

mchungaji Abiudi Misholi akiimba nyimbo za kusifu na kuabudu ambaye amejazwa Roho mtakatifu,katika wimbo huu anaeleza kuwa hata ukibaki peke yako ndugu zako wakikuacha Yesu hawezi kukuacha hata siku moja.Hivyo mtu wa mungu utakaye sikiliza wimbo huu naomba usijisikie mkiwa yupo Mungu muweza wa mambo yote.

Jumanne, 21 Oktoba 2014

Martha Mwaipaja - Tusikate Tamaa

Mwimbaji wa nyimbo za injili akiwahimiza watu wasikate tamaa katika maisha kwani Mungu yupo na humpatia mtu kitu kwa wakati

REBECA MALOPE MUIMBAJI MAARUFU WA NYIMBO ZA INJILI AFRIKA KUSINI.

                              

           Muimbaji wa  nyimbo  za  Injili  Nchin  Afrika  Kusini  maarufu  kama  Rebeca  Malope  alizaliwa mnamo  mwaka 1968. Alipofikisha  miaka  18 alianza kumwimbia Mungu wake aliye  muumba nyimbo za kusifu.


                             https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgdwTW52hsDGCP9NJYCHRDc2l4z_mvtSFFJ0tBoUnC-RExNoNGHkFCFMCmnJVbFW8qHVLuisM-wtTQ_enwvjSphyphenhyphen3ggHrNKl5DlIzLZQxXJnRirQDabV8ygwUB7_zgQ3N3v72gXNgsHlHWT/s1600/rebecca-article-header.jpg

         Safari  hiyo  ya msanii wa  nyimbo  za Injili, Alikuja kuzaa  matunda yanayozidi  kukonga  nyoyo za mamia  ya  watu  duniani. Rebeka  Malope  pia ni  mtangazaji  wa  kipindi  cha  luninga  kiitwacho  "It is  Gospel  time" kinachohusu  Injili.
\
\        Ndani  ya  takribani  miaka 27  katika  kazi  yake  muziki  Rebeca  amekwisha  toa  albamu  za mziki  wa  Injili  takribani 32. Pia  ana  Tuzo zaidi ya  29.


Jumatatu, 20 Oktoba 2014

KWAYA YA KINONDONI REVIVAL IKIIMBA WIMBO WAO MPYA "MTU WA NNE".

WAIMBAJI  WA  NYIMBO  ZA  INJILI  WAKIHUDUMU  KWA  NJIA  YA WIMBO.


https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhTdXz99a2n7w9fVFafgKG643VfpwLIKISGbEPnR9SZOnXnzR3SgbbTnhTOMxNy1bkMAiYlYFAL4OmcVH3W2H_qwYF4PSZSMiUQi4ztEW37-fFDcZZ8NHNQiYZDoQ6kKaMA2njzjzssOlfN/s1600/Scan-9-940x410.jpg

         Hii  ni  kwaya  ya  Kinondoni  Revival   Church  (TAG)  ambayo  kiongozi  wa  kanisa  hili  ni Askofu R.Swai. kway  ilianza  kuimba  tangu  mwaka  1990  mwalim  wa akiwa  Makenzi  ni  mwalim  aliyeja  upako  wa  Mungu na mwinjilisti  wa  neno  la  Mungu.
         
        Waimbaji  hawa  wamefanikiwa  kutoa  nyimbo   za  kumsifu  Mungu  na  kuabudu  albam  tano zilizovuma  sana  ni  albam  ya "kwanini  wataka  kujiua" hii  ilivuma sana  mwaka  2006  mpaka  2012 kwa  sasa  wanafahamika  kwa  wimbo  wa  "mtu  wa  nne" huu  ni  wimbo  uliobeba  ujumbe  wa  biblia  kuwa  kuna  watu  walitupwa  kwenye  tanuru  lakini wakajikuta  wako  nne.  
          






 

Jumamosi, 18 Oktoba 2014

UZINDUZI WA JOHN LISU WAFANANA SANA NA UKUMBI WA DIAMOND JUBILIEE HALL.

UZINDUZI  WA JOHN  LISU   AKIZINDUA  ALBAM  YAKE  YA  PILI "UKO  HAPA"YENYE  NYIMBO  KUMI NA NANE(18), KATIKA UKUMBI  WA  DIAMOND JUMBILEE  HALL JIJINI DAR ES SALAM.

Uzinduzi huo umefanyika leo,na mgeni  Rasmi ni Mheshimiwa  Stephani Wasira pamoja na wachungaji kutoka sehemu mbalimbali na waimbaji waliomsindikiza akiwepo Rose  mhando,Christina shusho,Christina  kilahiro,Abwene  mwasongwe, Solomon  mkubwa, Glory celebration pamoja na wengine wengi. 

                            https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhoE3XIjey3b-5m4AUCKTe_BGGA8a_rt3ceFEFlhZg0sGhA9HWJE3yF3ztgR3jtvWSgmgif3_xlmYZB1InGVDof_9O2i6mLmEixvvXM1zkkSA9rI0bAn-9id0qUR1R6S92jp0FgM7fg8xI/s1600/2.jpg
              Waziri  wa Nchi,ofisi  ya Rais (Mahusiano  na  Uratibu),STEPHA  WASIRA akionyesha  albam ya"  Uko  hapa"John  Lisu  yenye nyimbo (18), na kushoto ni mchungaji  Mwakibolo wa kanisa  la Mito ya baraka lilopo J angwani  na  kulia  ni Mkurugezi  wa kampuni la Msama  promosion,Alex  Msama ambaye ni mdhamin  wa uzinduzi  huu.
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjgCHCGrGTRz7FtCArAyyKl0Dt_cgJrgCJ8Dpt36u89oULODZPUCsPOpDSpWBZ2nFzP2BkaRXUhyphenhyphen9LeDpWt5mHYdqMldFut7DLH2yFleRCwhXKofLMhHRzWNn4xjMN5tlxOyfNOChEyGjY/s1600/HMB_9649.JPG
                               JOHN  LISU  AKIPIGA  GITA HUKU AKIIMBA.
               Huyu ndiye muimbaji  wetu wa  nyimbo  za Injili  sifa na kuabudu  John  Lisu  aliyejazwa Roho  mtakatifu ambaye amefanikiwa kutoa albam  mbili ya  kwanza iki itwa  "Jehova  yu hai"yenye nyimbo  kumi (14),na ya pili ni "Uko Hapa" zenye nyimbo kumi(18).


                           https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjZCHeYzuUwSNh9u1FadA-CZMwnA0BXEfuGKdklxNHP81MT-N4dYWeLL8U54mR_F2tEB-uITJ-YgxvD0iFG9qtk7WIvJdZcgc2tEOFnef_uCAO-ZAH4RJuDrecRud0K7fZwT0BUdWt9TUM/s1600/HMB_9630.JPG
                                   Hawa ni waimbaji  wa John  Lisu wakiwajibika  jukwaani kwenye  uzinduzi wa albam  ya "Uko  hapa".

Ijumaa, 17 Oktoba 2014

MUIMBAJI MASHUNGULI WA NYIMBO ZA INJILI BAHATI BUKUKU.


BAHATI BUKUKU APATA MCHUMBA.

                     MWIMBAJI wa Muziki wa Injili mwenye muonekano wa ‘mama  mwenye ndoa’, Bahati Lusako Bukuku amefunguka kuwa amepata mchumba lakini tatizo linabakikuwa mume wake wa zamani, Daniel Basila ambaye anasuasua kumpa talaka yake, Amani lina mkoba mkononi.


                    Akizungumza na ‘balozi’ wetu jijini Dar juzikati, staa huyo anayetamba na wimbo wake wa Dunia Haina Huruma aliweka ‘pleini’ kwamba hivi karibuni Mungu amemjalia kupata mchumba ambaye anahofia kumwanika kwa kuwa anabanwa na kifungo cha ndoa yake ya kwanza aliyofunga na Basila.

                  Bahati alisema kuwa kifuatacho inabidi adai talaka yake kwa nguvu zote hata ikiwezekana kufikishana polisi ili aondokane na kifungo cha ndoa hiyo na aanze mipango ya ndoa kwa kuwa hataki kumtendea Mungu dhambi.

                 Alisema kuwa, mara nyingi amekuwa akimkumbusha mumewe huyo wa zamani kuhusu talaka lakini amekuwa akimwambia asikonde talaka yake ipo hivyo avute subira.

Bukuku aliolewa na Daniel na kufanikiwa kupata mtoto mmoja ambaye alifariki dunia mwaka 2006 .


                     





Alhamisi, 2 Oktoba 2014

Sherehe ya Kumpongeza Mchungaji Kiongozi  Rogathe z. Swai wa Kanisa la (TAG)Revival Kinondoni. 

Mchungaji Kiongozi Askofu Zakayo Rogathe Swai wa Kanisa  la   Tanzania Assemblies of God (TAG) Kinondoni maarufu  kama Kinondoni Revival Church   afanyiwa sherehe  kwa kuhitimu  mafunzo ya Shahada ya kwanza ya Theologia  toka Chuo  kikuu cha East  Nairobi  sherehe  zilizofanyika leo  kanisani Kinondoni Dar  es  Salaam.
Mchungaji  Swai akiwa na  mkewe Eshemendi, wengine kutoka kushoto ni Askofu mkuu wa makanisa  ya TAG  Tanzania  Dr Barnabas Mtokambali  na  mkewe  , Kulia kabisa ni   Mr & Mrs  Rev Dr.   Moris Mwarandu toka   kanisa la  RGC  Nairobi, Kenya  
                                           Askofu  Swai  na  mkewe  wakilishana  keki .


Jumatano, 1 Oktoba 2014

MUIMBAJI WA NYIMBO ZA INJILI ABWENE MWASONGWE NA WIMBO MPYA "MISULI YA IMANI".

ABWENE MWASONGWE NI MWIMBAJI WA NYIMBO ZA INJILI ANAYE ELEZEA UHALISIA WA MTU ANAVYOKUWA NA IMANI.

MUIMBAJI HUYU WA NYIMBO ZA INJILI ABWENE MWASONGWE AMETOA CD TATU , NA HII YA TATU NI MISULI YA IMANI.

Abwene ni kijana mwenye umri wa miaka 28 na ni mwanafunzi wa chuo  kilichopo Mbeya anaye somea mambo ya uhasibu na hajaoa bado lakini mungu hajamuacha amempa kipaji cha kuimba nyimbo za injili zenye kubeba ujumbe na ushuhuda wa maisha yetu.Abwene amesema kuwa aliamua kuipa albamu yake jina hilo kutoka na kisa ama ushuhuda  ambao ameuimba katika wimbo huo wa mama aliyekuwa na watoto saba na wote wakafa siku moja.kuna watu ambao mara nyingi hawaamini katika dunia ya leo kama ilivyo kuwa kwa Ayubu ambaye mateso yake yanajulikana kwa kila msomaji wa bibilia .

Hayatofautiani sana na huyu aliyefiwa na watoto saba kwa siku moja hali ambayo inatia sana uchungu na pengine unaweza ukamwacha mungu na kwenda kwa waganga wa kienyeji,lakini huyu mama alikuwa na "misuri ya imani"wala hakumtenda mungu wake dhambi aliweza kuhimili shida zake kwa kupiga magoti na kumuomba mungu wake aliye hai wakati wote wala hashindwi.





MWIMBAJI WA NYIMBO ZA INJILI ABWENE MWASONGWE ALIYEJAZWA ROHO MTAKATIFU.

Hivyo Abwene anaendelea kusema maana ya wimbo huo wa "misuri ya imni" ni kuwaeleza watu jinsi imani inavyotenda kazi namna watu wanavyotakiwa kumuimini mungu katika shida raha. kwa kupitia wimbo huo unaweza ukampokea mungu awe ndani yako.